Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao, Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.